Union ya Kaskazini mwa Tanzania

Ofisi ya Kanisa la Waadventista wa Sabato inayoratibu kazi ya Kanisa katika maeneo ya kaskazini na magharibi mwa Tanzania.

Makao makuu · Njiro, Arusha, Tanzania

Kanisa katika eneo la Union

Union ni sehemu ya Kanisa la Waadventista wa Sabato duniani chini ya Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati. Inasaidia konferensi, fildi, makanisa na taasisi kutekeleza utume na kuhudumia jamii.

914,979Washiriki
3,372Makanisa
4Konferensi
5Fildi

Takwimu za tarehe 30 Juni 2025, kwa mujibu wa Adventist Yearbook.

Majukumu ya Union

Union inaratibu uongozi wa Kanisa, idara na taasisi zinazohudumia Kanisa na jamii.

Uongozi na utawala

Union inasaidia konferensi, fildi, wachungaji na makanisa katika kupanga na kutekeleza utume.

Uongozi wa Union

Idara na huduma

Idara zinaratibu kazi za elimu, afya, vijana, familia, uchapishaji, uwakili, mawasiliano na uinjilisti.

Idara na huduma

Taasisi na huduma

Taasisi za elimu, afya, teknolojia, machapisho na misaada zinahudumia Kanisa na jamii.

Taasisi na huduma

Muundo wa kiutawala

Union iliundwa mwaka 2013 na inahudumia eneo lake kupitia konferensi nne na fildi tano. Kila konferensi au fildi inaratibu makanisa, wachungaji na huduma katika eneo lake.

Makao makuu
Njiro, Arusha
Divisheni
Afrika Mashariki na Kati
Mwaka wa kuundwa
2013
Konferensi na fildi

Taarifa kwa umma

Taarifa rasmi kuhusu eneo la Union, taasisi na namna ya kupata kanisa la Waadventista.